Toka shoto ni Dataz,Mamaa Regina Mwalekwa pamoja na Sophia Kessy wote toka pande ya Clouds Fm kama walivyonaswa na kamera yetu jioni hii.
sema mamaa kuna watoto hapo bwana mtaa
ReplyDeleteMmependeza lakini msiwe walevi wa kupindukia maana macho yanaonesha kuwa mmekunywa.
ReplyDeletekweli kabisa mdau hapo juu,wamepombeka haswaaa!!na hasa sophia na regina.hee kumbe regina mtu mzima hivi?!!!!!au nguo imemzeesha jamani!
ReplyDeletehayo masatini jamani mh!!
ReplyDelete