HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 7, 2011

ujenzi wa kituo kipya cha daladala cha mbezi wafikia hatua za mwisho mwisho

Baadhi ya mitambo inayofanya kazi ya ujenzi wa kituo kipya cha Daladala cha Mbezi mwisho ikiendelea na kazi mchana wa leo ikiwa ni hatua za mwisho mwisho za ujenzi wa kituo hizo kama kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilivyonasa mchana wa leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad