HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 7, 2011

Mambo ya Mtoko hayoo....

Toka shoto ni Dataz,Mamaa Regina Mwalekwa pamoja na Sophia Kessy wote toka pande ya Clouds Fm kama walivyonaswa na kamera yetu jioni hii.

4 comments:

  1. sema mamaa kuna watoto hapo bwana mtaa

    ReplyDelete
  2. Mmependeza lakini msiwe walevi wa kupindukia maana macho yanaonesha kuwa mmekunywa.

    ReplyDelete
  3. kweli kabisa mdau hapo juu,wamepombeka haswaaa!!na hasa sophia na regina.hee kumbe regina mtu mzima hivi?!!!!!au nguo imemzeesha jamani!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad