HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 16, 2010

mashindano ya klabu bingwa mpira wa wavu yaanza kutimua vumbi mkoni kilimanjaro

Timu shiriki katika mashindano ya klabu bingwa ya mpira wa wavu zikifanya maandamano ya ufunguzi wa mashindano hayo ,maandamano yalianzia ofisi za Vodacom hadi uwanja wa Hindu Mandal.
Timu shiriki zikiwa zimejipanga tayari kwa ufunguzi wa mashindano ya klabu bingwa Tanzania.
Mwenyekiti wa chama cha mpira wa wavu nchini (TAVA)Augustino Israel Agapa akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano ya klabu bingwa yanayo fanyika mjini Moshi ,Jumla ya timu sita kutoka mikoa mbalimbali zinashiriki mashindano hayo.Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom wakiwa ndio wadhamini wakuu wa mashindano walikuwepokushuhudia ufunguzi,shoto ni meneja mauzo mkoa wa Kilimanjaro Kizumo Kizango na Emanuel Carl ambaye ni mwakilishi mauzo mkoa wa Kilimanjaro,kulia ni katibu wa chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Kilimanjaro Alfred Serengia.
Meneja mauzo wa Vodacom mkoa wa Kilimanjaro,Kazumo Kizango akizungumza wakati wa ufunguzi huo.

Timu ya Mzinga ya MOROGORO wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kufunguliwa kwa mashindano ya klabu bingwa yanayo fanyika katka uwanja wa Hindu Mandal mjini Moshi.
Timu ya Jeshi stars wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kufunguliwa kwa mashindano ya klabu bingwa yanayo fanyika katka uwanja wa Hindu Mandal mjini Moshi.

1 comment:

  1. Mambo Michuzi Mdogo Junior,
    Huyo anayeongea sio Kizumo Kizango, Kizumo Kizango ni huyo aliyekaa mwenye shati jeupe.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad