HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 16, 2010

Rais Kikwete afungua maabara ya kisasa hospitali ya Maweni Kigoma

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na baadhi ya wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Maweni wakati wa uzinduzi wa Maabara ya uhifadhi Damu Salama jana mchana.
Mwakilishi kutoka wizara ya Afya Dr.Pamela Sawa akimpa Rais Jakaya mrisho Kikwete maelezo ya uhifadhi wa damu Salama katika mabara ya kisasa katika hospitali ya Maweni mjini Kigoma muda mfupi baada ya Rais kuifungua maabara hiyo jana mchana
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad