HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 6, 2025

Matukio mbalimbali katika banda la VETA katika Maonesho ya Sabasaba.

Watoto wakiwa banda la VETA katika Maonesho ya Sabasaba wakijifunza Uchoraji wa vitu mbalimbali  ikiwa ni malengo ya VETA watoto waanze kujua ufundi Stadi  mapema 

Watoto wakiwa banda la VETA katika Maonesho ya Sabasaba wakijifunza Uchoraji ,Ushonaji ,Ususi ikiwa ni malengo ya VETA watoto waanze kujua ufundi Stadi  mapema.
Mhitimu wa VETA ambaye ni mlemavu hana mikono akionyesha umahiri wa kuchora kwa kutumia miguu katika Banda la VETA  kwenye Maonesho ya Sabasaba.








No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad