HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 9, 2025

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA TATU WA BAHARI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Bahari (UNOC3), unaofanyika Jijini Nice nchini Ufaransa leo tarehe 09 Juni 2025. Kulia ni Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Shaaban Ali Othman






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad