Baadhi wanafunzi wanaotegemea kufanya mitihani ya Bodi, Wakufunzi pamoja na wafanyakazi wa Bodi wakisikiliza hotuba ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Profesa Sylvia Temu wakati wakufungua semina kwa Wakufunzi wa Vituo vya Kufundishia Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo Mwezi Novemba mwaka 1972 iliyofanyika kwenye ofisi za Bodi hiyo jijini Dar es Salaam.
Afisa wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Humphrey Symphorian akizungumza jambo kwenye semina ya Wakufunzi wa Vituo vya Kufundishia Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo Mwezi Novemba mwaka 1972.
Semina ikiendelea
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Profesa Sylvia Temu(kulia) akifuatilia mada mara baada ya kufungua ya kikao kazi cha Wakufunzi wa Vituo vya Kufundishia Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo Mwezi Novemba mwaka 1972 ambapo kilele chake ninatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2022.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), CPA Profesa Sylvia Temu(katikati aliyekaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Bodi hiyo pamoja na Wakufunzi wa Vituo vya Kufundishia Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo baada ya kufungua kikao hicho.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza wakati wa kufunga mkutano wa Wakufunzi wa Vituo vya Kufundishia Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya Bodi ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Bodi hiyo Mwezi Novemba mwaka 1972 ambapo kilele chake ninatarajiwa kufanyika Novemba 28, 2022.
No comments:
Post a Comment