MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE HEMED SULEIMAN ABDULLAH AASA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 14 December 2020

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR MHE HEMED SULEIMAN ABDULLAH AASA WATANZANIA KUNUNUA BIDHAA ZINAZOZALISHWA NCHINI

 


Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipata maelezo kutoka kwa Bw. Edwin Rutageruka Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade kuhusu Ubora wa Mpira wa Miguu unaotengenezwa nchini kwa kutumia ngozi za Tanzania.

Watanzania wanapaswa kujenga Utamaduni wa kununua Bidhaa zinazozalishwa na Viwanda vilivyopo Nchini ili kukuza Mapato ya Taifa, kuongeza ajira hasa kwa Vijana  kupitia Sekta mbali mbali  za uzalishaji ambazo ni kiungo muhimu katika maendeleo ya Viwanda.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Hemed Suleiman Abdulla  amesema hayo wakati akiyafunga Maonesho ya Tano ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl.J.Kye.Nyerere Jijijini Dar es salaam.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad