HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 7 May 2018

WATAKAO HUJUMU MIRADI YA ELIMU KUKIONA CHA MOTO- RC RUVUMA

Wilaya ya TUNDURU imefanikisha kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 600 kutoka kwa wakulima wa zao korosho,ambapo fedha hizo zitatumika katika kuboresha miundombinu ya elimu pamoja na kuboresha kiwango cha cha ufahuru kwa wanafunzi na kupunga msongamoto wa wanafunzi katika madarasa.
kutokana na hutua hiyo mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME akawaonya viongozi wote watakaokwenda kinyume na utaratibu katika mtumizi ya fedha hizo. HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad