HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 6 April 2018

WAZIRI MKUU AHUDHURIA IBADA YA IJUMAA KATIKA MSIKITI WA GADAFFI MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na waumin wa Kiislam wakisikiliza mawaidha kutoka kwa Sheikh Sharif Badawi Ahmed, kutoka Mombasa nchini Kenya wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi  mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma, Mustafa Rajab Shaaban, wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma Aprili 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waumini wa Kiislamu, wakati alipohudhuria ibada ya Ijumaa, katika msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma Aprili 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad