Mtaa Kwa Mtaa Blog

MABALOZI WAJITAMBULISHA NA KUMUAGA RAIS DK.SHEIN

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe, John Pombe Magufuli hivi karibuni .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu akiwa  Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda  akiwepo Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Meja Jenerali Mstaafu Simon Marco Mumwi  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Urusi (katikati) akiwepo na IGP Mstaafu Enest Jumbe Mangu pia Balozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Rwanda (kushoto)walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. John Pombe Magufuli hivi karibuni (Picha na Ikulu)
Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget