HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Sunday, 29 April 2018

SIMBA YAIBAMIZA YANGA 1-0

Simba wameibuka washindi kwenye mechi dhidi ya mahasimu wao Yanga sasa unawafanya Wekundu Wa Msimbazi kuhitaji pointi 5 kutawazwa mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara.
Kikosi cha Timu ya Yanga
Kikosi cha Timu ya Simba
Shabiki wa Yanga akiwa ahamini kilichotokea
Mashabiki wa timu ya Simba wakishangilia kwa furaha mara baada ya ya timu yao kufunga goli

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad