HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 6 April 2018

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  timu ya Madaktari kutoka China inayoongozwa na  Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (wa tatu kulia) wakati timu hiyo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mkurugenzi wa Nanjing Drum Tower Hospital Bw.Han Guangshu (kushoto) wakati  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiongoza timu ya Madaktari kutoka China (hawapo pichani).(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad