Wakazi wa Mbezi waliojenga nyumba zao karibu na Mto Mbenzi wamedai kuwa walijenga nyumba hizo kwa ajili ya kupunguza gharama za kusafirisha mchanga pamoja na urahisi wa ufyatuaji tofali.
Wakizungumza na Michuzi blog wamesema kwao ilikuwa rahisi kujenga nyumba kuliko maeneo mengine.
Aidha wamesema kuwa kutokana na watu kuongezeka wanaochimba mchanga katika bonde la Mto Mbenzi ndio maana mafuriko yamekuwa yakiwakumba kila mvua inaponyesha.
Baadhi ya nyumba zilizojengwa katika bonde la Mto Mbezi.
Nyumba zikiwa zimejenwa kandokando ya mto Mbezi. Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii
No comments:
Post a Comment