HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 22, 2023

WIKENDI HII SHANGWE LAKO LINAHAMIA WAPI?

 


LIGI mbalimbali Duniani kuendelea wikendi hii huku kila timu ikihitaji kusaka pointi 3 muhimu ili kusalia kwenye ligi, wengine wakipambania Ubingwa na wengine wakipambani kusalia kwenye ligi. EPL, Bundesliga, NBC, Serie A, Laliga Ligue 1 hizo ni zile kubwa duniani lakini pia kuna zingine kutoka nchini mbalimbali zitapigwa.

Ligi kuu ya NBC itaendelea hapo kesho kwa michezo miwili ambapo matajiri wa Chamazi Azam FC watakuwa ugenini kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Ruvu Shooting ambao bado wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Wanalamba lamba wanahitaji ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushindani mashindano makubwa barani Afrika. Nao KMC ambao wanapigania kushuka daraja watakuwa ugenini dhidi ya Dodoma Jiji. ODDS KUBWA zipo mechi hii beti sasa.

Ligi pendwa Ulaya EPL iataendelea kama kawaida timu mbalimbali kushuka uwanjani kusaka alama tatu. Leicester City kumenyana dhidi ya Wolves ambao wameimarika sana kwenye mechi zao mbili zilizopita. Je atafurukuta mbele ya Mbwa mwitu ambaye anapamban kutoshuka daraja? Beti na Meridianbet. Nani atakupa pesa kati ya Brentford dhidi ya Aston Villa fanya kuingia Meridianbet uabshiri na mabingwa.

Kule Bundesliga nako mambo ni moto sana timu mbili zinachuana kuwania ubingwa, Dortmund na Bayern nani kuongoza ligi wiki hii? Dortmund atakuwa nyumbani kumwalika Eintracht Frankfurt, huku Bayern ambaye ametoka kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Mainza 05. Nafasi kubwa ya ushindi amepewa Bingwa mtetezi akiwa na ODDS ya 1.57 wakati mwenye akiwa na ODDS ya 5.09 wewe pesa yako unaiweka wapi? Beti sasa na Mabingwa.

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii hapa.

Kwenye Serie A, Napoli baada ya kuaga mashindano makubwa barani Ulaya UCL watakipiga dhidi ya Juventus ambao wao wameingia hatua ya Nusu Fainali ya Europa Ligi. Je hasira zao wazimalizia hapo na ikumbukwe kuwa mechi ya mwisho Bibi Kizee wa Turin alipasuka vibaya sana. Inter nao baada ya kupoteza mchezo wake wa mwisho wa ligi watakuwa ugenini dhidi ya Empoli. Meridianbet Chagua Tukupe.

Kule Ligue 1 sasa vita itakuwa ni kati ya Auxerre ambaye atakuwa nyumbani kumkaribisha Lille akikumbukia mara ya mwisho walipokutana lichapika vibaya sana. Atafanya nini kupata pointi tatu?. Lens aliyepo nafasi ya 3 atacheza dhidi ya Monaco aliyepo nafasi ya 4, mwenyeji mechi ya mwisho amepoteza wakati mgeni akiwa ametoka kupata ushindi. ODDS KUBWA zipo Meridianbet ingia na ucheze sasa. Mechi ningine ya kibabe kabisa ligi kuu ya Ufaransa ni kati ya Lyon na Marseille nani kupasuka mechi hii? Bashiri sasa. Kwa USSD ni rahisi kushinda kwa dau dogo sana la TZS 250/= tena unabeti bure kabisa.

Haiishii hapo tu, Ile michuano ya Kombe la FA pale Uingereza itarindima wikendi hii Manchester City atamkaribisha Shieffield United nyumbani kwake huku vijana hao wa Pep Guardiola wakihitaji Kombe hili. Siku ya Jumapili Manchester United baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Europa atamenyana dhidi ya Brighton huku nae akihitaji zaidi Kombe hili. Meridianbet wana machaguo zaidi ya 1000.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad