HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 10 January 2018

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA SOKO LA SAMAKI MKOA WA LINDI.


 Wajasirimali katika Soko kuu la samaki la mkoa wa Lindi wakitayarisha Samaki.
Wajasiliamali katika soko kuu la mkoa wa Lindi wakipanga samaki tayari kwa kuwauza kwa wateja sokoni hapo.
 Wavuvi wakiwa katika jahazi wakiandaa samaki ambao wamewavua kwa ajili ya kuwauza katika soko kuu la samaki la mkoa wa Lindi.
Chombo kikiandaliwa.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jambii Lindi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad