Monday, May 8, 2017

Home
HABARI
LIVE: SHUGHULI YA KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA
LIVE: SHUGHULI YA KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hakika huu msiba mzito katika taifa letu, unanikumbusha enzi za MV BUKOBA.
ReplyDeleteLakini kitu cha kufurahisha ni umoja wa hali ya juu sana unaozidi kuoneshwa na Watanania wote kusahau tofauti zetu zote za kisiasa na kidini na kuunganana na Familia za marehemu na shule ya Lucky Visent katika kuombolea msiba huu mkubwa.
Natoa pole kwa Wazazi, Walezi, Ndugu wa marehemu, Wanafunzi na uongozi wa shule na kwa watanzania wote.
Hakika mwenyezi Mungu yuko pamoja nasi katika kipindi hiki kigumu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa....
JINA LAKE LIHIMIDIWE.