HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 8 May 2017

LIVE: SHUGHULI YA KUAGWA KWA MIILI YA WANAFUNZI, WALIMU NA DEREVA WA SHULE YA LUCKY VINCENT-ARUSHA

1 comment:

 1. Hakika huu msiba mzito katika taifa letu, unanikumbusha enzi za MV BUKOBA.
  Lakini kitu cha kufurahisha ni umoja wa hali ya juu sana unaozidi kuoneshwa na Watanania wote kusahau tofauti zetu zote za kisiasa na kidini na kuunganana na Familia za marehemu na shule ya Lucky Visent katika kuombolea msiba huu mkubwa.
  Natoa pole kwa Wazazi, Walezi, Ndugu wa marehemu, Wanafunzi na uongozi wa shule na kwa watanzania wote.
  Hakika mwenyezi Mungu yuko pamoja nasi katika kipindi hiki kigumu.
  Bwana alitoa na Bwana ametwaa....
  JINA LAKE LIHIMIDIWE.

  ReplyDelete

Post Bottom Ad