HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 8 May 2017

ARUSHA YASIMAMA KWA MUDA WAKATI WA ZOEZI LA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU WAWILI NA DEREVA

 Umati wa wakazi wa Jiji la Arusha na maeneo ya jirani ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid wakati wa zoezi la kuaga miili ya Wanafunzi 32, Walimu wawili na Dereva waliopoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Rhotia Wilayani Karatu hivi karibuni. Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan ndie aliongonza zoezi hilo la kuaga.
Sehemu ya Jeneza zenye miili ya Wanafunzi 32, Walimu wawili na Dereva waliopoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea eneo la Rhotia Wilayani Karatu hivi karibuni, zikiwa Uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid wakati wa zoezi la kuaga lililoongozwa na Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan. 
Baadhi ya viongozi wa Vyama mbalimbali wakishiriki kuaga miili hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad