HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 3 April 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AFANYA ZIARA MKOA WA KASKAZINI PEMBA LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Crispin Prospher Mwombeki wa kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mecco wakati Rais alipotembelea ukarabati wa barabara ya Chwale (Madenjani) mpaka Mzambarautakao  inayojengwa na kampuni hiyo yenye urefu wa kilomita tano (5km) katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kikazi (kulia) katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Nd. Mustafa Aboud Jumbe
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) wakati alipotembelea ukarabati wa ujenzi w Barabara ya Chwale (Madenjani) mpaka Mzaambarautakao leo inayojengwa na kampuni ya Ujenzi wa Barabara ya Mecco   yenye urefu wa kilomita tano (5km) katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba  akiwa katika ziara ya kikazi (kulia) 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto)akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Miundombinu Nd,Mustafa Aboud Jumbe (katikati) alipokuwa akiangalia mashine ya kutilia lami (PAVER) ya kampuni ya Mecco leo wakati alipotembelea ukarabati wa ujenzi wa Barabara ya Chwale (Madenjani) mpaka Mzambarautakao inayojengwa na Kampuni hiyo   yenye urefu wa kilomita tano (5km) katika Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,  akiwa katika ziara ya kikazi (kulia)
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Wananfunzi wa Skuli ya Daya Mtambwe leo alipotembelea   Ujenzi wa Chuo cha  Mafunzo ya Amali unaojengwa na Kampuni ya kizalendo ya ZECON ya hapa Zanzibar,   akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kasakazini Pemba.
 Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Daya Mtambwe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati alipofika Skulini hapo leo kuangaalia ujenzi wa Chuo cha  Mafunzo ya Amali unaojengwa na Kampuni ya kizalendo ya ZECON ya hapa Zanzibar   akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kasakazini Pemba 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya ZECON ya Zanzibar Nd,Ali Mbarouk Juma (kulia) wakati alipofika Daya Mtambwe Kaskazini Pemba kuangalia hatua za Ujenzi wa Chuo cha  Mafunzo ya Amali leo akiwa katika ziara ya kikazi Mkoa wa Kasakazini Pemba,(wa pili kulia)Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati)akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Rashid Hadid Rashid alipotembelea Ukunjwi katika  sehemu ya kupokelewa Umeme unaopelekwa kisiwa cha Fundo, Mkoa wa kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kikazi leo (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad