HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 3 April 2017

MWANAMKE AJIRUSHA KWENYE MAJI WAKATI BOTI IKIWA SAFARINI

Taarifa zilizo tufikia hivi punde kuwa kuna mwanamke moja ambaye jina lake halikufahamika haraka alikuwa ndani ya Boti ya Azam Marine Kilimanjaro 5 iliyokuwa inatokea Dar kwenda Zanzibar. Boti hiyo ilipofika maeneo ya Chumbe mwanamke huyo alijirusha baharini huku Boti hiyo ikiwa kwenye mwendo. Baada ya uongozi wa boti hiyo kupewa taarikfa kuwa kuna mmtu kajitosa majini ilipelekea kusimama kwa muda kwenye eneo hilo la tukio na kuanza kumuokoa.
Hata hivyo haijafahamika nikitu gani kilicho sababisha Mwanamke huyo kujirusha kwenye maji.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad