Mtaa Kwa Mtaa Blog

MATUKIO KATIKA PICHA: SERENGETI BOYS NA GHANA ZATOSHANA NGUVU LEO TAIFA, ZAFUNGANA 2-2.

Nickson Kibagage wa Serengeti Boys, akiruka juu kuupiga mpira kuelekea langoni wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Ghana (U17), katika Mchezo wa kimataifa wa kirafiki, uliopichezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka sare ya kufungana goli 2-2. endelea kuburudika na picha za matukio mbalimbali ya mchezo huo hapo chini.Labels:

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget