Mwanahabari, Michael Machellah(kulia) akimkabidhi mtunza hazina wa Chama cha Darts Tanzania,
Harold Mono Shilingi 100,000/- maara baada ya kuibuka bingwa katika bonanza la mchezo wa
Vishale(Darts) lililoandaliwa na mwanahabari huyo lijulikanala kwa “Machellah Monthly Bonanza”
lililofanyika mwishoni wiki katika ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam.
Baadhi ya wachezaji na mashabiki wa Darts mkoa wa Dar es Salaam wakifuatilia mchezo katika Bonanza
lililoandaliwa na mwanahabari Michael Machellah lijulikanalo kwa Machellah Bonanza lililofanyika
mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma Mwananyamala Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment