Kamera yetu ilifanikiwa kupata taswira ya mdau na shabiki kinazi wa timu ya Mbeya City fc akiwa amefuata jua la asubuhi kupata vitamini kadhaa aliona si vyema kuota jua sehemu nyingine bali afuate kitu ambacho roho ina penda.picha na mtaa kwa mtaa blog.
No comments:
Post a Comment