Kamera ya Mtaa kwa Mtaa mapema leo asubuhi imekutana na kasumba hii ya bwana na bibi wakigaragazana barabarani, eneo la Kinondoni Manyanya, humu bibi akisikika kulalamika kwamba bwana kaondokaje home bila kuacha hela ya mboga.
Mara msamalia mweka akatokea na kutaka kusawazisha jambo hilo.
No comments:
Post a Comment