HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 13, 2015

HAPA UNAPATA HUDUMA MCHANGANYIKO...

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog ilinasa taswira hii mitaa ya changanyikeni na kujionea huduma mbalimbali zitolewazo kwenye kilinge kimoja hivi huku changanyikeni, na utapata mahitaji madogo madogo ya vyakula, uzito kwa watoto walio paswa kwenda kwenye zaanati hapa ime rahisishwa na wale wanao taka kushona viatu vya aina yote leteni hapa pia wanashona.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad