HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 20, 2015

WATOTO MICHEZONI

Sio  Kama wametumwa hapa watoto hawa hii ni sehemu ya Michezo tuu ingawa ni hatari kwao kwani ni kingo za mto Mbezi eneo la Kunguru Makongo juu jijini Dar es Salaam.
Kama walivyo bambwa na Kamera ya mtaa kwa mtaa,(Picha zote na Avila Kakingo, Mtaa kwa Mtaa)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad