Jamaa
akitafakari jinsi ya kuvuka maji ili aweze kwenda upande wa pili katika eneo la Kunguru- Makongo juu jijini Dar es Salaam.
Jamaa akaamua kuvuka tuu Mto Mbezi eneo la Kunguru Makongo juu jijini Dar es Salaam.
Yuleee
Kamaliza mto.
Dada naenda kutafuta mti kwaajili ya kupima kina cha maji cha Mto iliaweze kuvuka.
Dada anapima kina cha maji.
Kijana ambaye hakujulikana alikotokea alijitokeza kuvusha watu katika mto huo.
Katikati ya Mto.
Mwishowe dada kashavuka mto.
(Picha zote na Avila Kakingo, Mtaa kwa mtaa)
No comments:
Post a Comment