Kama ulikuwa hujui hata mikokoteni siku hizi inasajiwa!!!!!!!!!!!!!!!! Ukimuhitaji utampata kwa namba hiyo. Maji kwenye mkokoteni, bei maelewano kama alivyobambwa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.(picha zote na Avila Kakingo, Mtaa kwa Mtaa)
No comments:
Post a Comment