HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 2, 2013

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI LEO AKITOKEA LONDON, UINGEREZA, ALIKOHUDHURIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SERIKALI UWAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit), akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali aliyefika kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mblaimbali baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad