Wachezaji wa timu ya Taifa ya Safari Pool wakiwa katika picha ya pamoja na medali zao za shaba wakati wa sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika Meeda Sinza Dar es Salaam jana, mara baada ya kurejea kutoka nchini Malawi kweny mashindano ya Pool ya Afrika ambapo walishinda nafasi ya tatu kwa Afrika.Kulia ni Meneja wa timu, Nabil Hiza.
Mchezaji
wa timu ya taifa ya Safari Pool, Patrick Nyangusi akisalimia wapenzi na
mashabiki wa mchezo huo (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili kwenye
tafrija ya kupongezwa iliyokuwa imeandaliwa katika Ukumbi wa Meeda Sinza
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment