HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 23, 2013

Hivi utaratibu wa kukamata mifugo inayozurula hovyo uliishia wapi??

 Zamani kulikuwaga ya Utaratibu wa Halmashauri ya jiji kukamata mifugo yote inayozurula hovyo maeneo ya kati kati ya mji,sikui umeishia wapo??Pichani ni Mbuzi ambao hawakuweza fahamika mara moja kuwa ni wa nani,wakikata mitaa ya Magomeni jijini Dar.

2 comments:

Post Bottom Ad