Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji ,akiswalisha Swala ya Idd el Fitri,ambayo kitaifa iliwaliwa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja leo katika kufuatia kumalizika kwa mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Sehemu ya waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika swala ya Idd el Fitri,iliyoswaliwaa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,kufuatia kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Akina mama waumini wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Idd el Fitri katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,kufuatia kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan
Imamu Mkuu wa Msikiti Masjid Mushawal Mwembeshauri Sheikh Mziwanda Ng'wali Ahmed,akitoa hutuba ya swala ya idd el fitri,katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Ungujaleo katika kusherehekea sikukuu hiyo kwa wailamu wote Duniani
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dk.Amani Abeid
karume kabla ya kuanza kwa Swala ya Idd el Fitri iliyosaliwa Kitaifa
katika viwanja vya Maisara Suleiman,Mjini Unguja. Kati yao ni Makamu wa
Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi
Viongozi wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi baada ya kumalizika kwa swala ya Iddi el fitrile
No comments:
Post a Comment