HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 9, 2013

sikukuu ya Idd el Fitr ilivyosherehekewa leo katika Fukwe za Coco Beach na Kawe jijini Dar

 Wakazi wa Maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakiwa katika Fukwe ya Kawe Beach ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr ilioadhimishwa leo Duniani kote,mara baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
 Watoto wakiogelea kwa raha zao.
 Wengine waliendelea kuwasiliania na wenzao kwa kuwadolishia raha wazipatazo katika fukwe ya Coco Beach jijini Dar. 
 Jamaa wakimuangalia mwenzao akipiga mbizi majini.
 Wafanyabiashara ndogo ndogo leo ilikuwa ni neema kwao.
 Maalim nae hakuwa nyuma kuuza mishkaki.
Wengi walifika kupunga upepo pia.
Wengine wakipata taswirazz.
 Wengine walikuwa wakipata vilaji vyao kwenye vibuyu.

 Mambo ya Kuchumpa pia yalipewa nafasi katika fukwe ya Coco Beach,jijini Dar.
 Taswirazz mwanana.
 Maalim mie pia nilifika katika fukwe hizo kwa kupunga hewa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad