HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 9, 2013

SWALA YA IDD KWENYE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR LEO

Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akiswalisha Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakishiriki kwenye Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo akitoa hotuba wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Waumin wa Kiislam kutoka maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Imam Mkuu wa Msikiti wa Manyema,Sheikh Hamad Jongo wakati wa Swala ya Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba akiwa akiwa ni miongoni mwa waumini wa kiislam walioswali swala ya Idd el Fitr,kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo.
 Waumini.
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salum akitoa nasaha zake mara baada ya Swala ya  Idd el Fitri,ambayo kimkoa imeswaliwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam.ikiwa ni ibada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
 Sheikh akisoma Dua.
 Mkono wa Idd el Fitr.
Sie tukiwa na Bi. Mkubwa mara baada ya Swala ya Idd.

1 comment:

Post Bottom Ad