HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 2, 2012

Wafanyakazi wa Benki ya FBME tawi la Dar washerehekea mwaka mpya kwa michezo

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam waliserebuka wakati wa kuusherehekea mwaka mpya wa 2012 kwenye ufukwe wa Beach Comber,Kunduchi jijini Dar es Salaam.
 Michezo mbali mbali ilichezwa siku hiyo yote hiyo ikiwa ni kuusherehekea mwaka mpya wa 2012,na hapa ni baadhi ya wafanyakazi wa Beki ya FBME tawi la Dar es Salaam wakicheza mchezo wa kukimbiza kuku.
 Meneja wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam,Haider Mwinyimvua (katikati) akiwa na wafanyakazi wenzake wa benki hiyo wakati wakipata chakula.
Muda wa Chakula ulifika na kila mmoja alijisevia mwenyewe.
Mchezo wa kuvuta kamba pia ulikuwepo na hakuna hata mmoja ambaye hakushiriki.
Mbio za Magunia.
Kabumbu pia ilikuwepo.

1 comment:

  1. Excellent management of FBME!!
    You need to do this at least every year as it increases work morale, reduces stress and motivates employees as well!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad