HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 2, 2012

hivi mchezo huu unafaida gani kwa mchezaji na taifa kwa ujumla??

Huyu anaeonekana nyuma ya hiyo basi ni mmoja kati ya wale vijana wanaocheza mchezo kwa kutembea na viatu vya mairi kwa kudandia magari kama aonekanavyo hapo pichani.tumekuwa tuiona michezo mingi hapa nchini na faida zake,sasa huu faida yake ni ipi kwa mchezaji na hata kwa Taifa kwa Ujumla??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad