Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Mai Ankal,Sabrina Juma ambaye huadhimisha siku yake hiyo ya kuzaliwa kila ifikapo siku ya kwanza ya Mwaka kama ya leo.Sabrina ametimiza miaka nane (8yrs) taslim bila chenji leo.
Mai Ankal Sabrina Juma akijisevia kekizz mara baada ya kuona watu wanachelewa kumlisha.
Mai Ankal Sabrina Juma akizima mishumaa ikiwa ni ishara ya kuanza mwaka wake mpya wa kuzaliwa kwake leo.
Mai Ankal Sabrina Juma akimlisha keki mama yake mdogo,Bilaya Kapalata.
Mama Mzaa Mai Ankal,Dada Amina Kapalata akimlisha kekizz mwanae kipenzi,Sabrina Juma.
Mie nami ndani (sikosagi kwenye sekta hizi) nikimlisha keki Mai Ankal,Sabrina Juma wakati wa hepi besdei yake ya kuzaliwa leo.
Baba wa Sabrina,Bw. Shemeji Juma Nyahole akimlisha kipande cha keki mwanae kipenzi.
Sabrina Juma akiwa na wanandugu wengine waliojumuika kwa pamoja katika hepi besdei ya kuzaliwa kwa Mai Ankal Sabrina Juma leo,nyumbani kwao Tabata Balacuda,jijini Dar.
No comments:
Post a Comment