Mchezaji wa Pool wa Mkoa wa kimichezezo wa Kinondoni,Ally Akida akicheza wakati mpinzani wake Ally Akbar wa Temeke akishuhudia wakati wa Bonanza la Mikoa mitatu ya Dar es Salam lililofanyika na kuandaliwa na Mkoa wa Kinondoni Meeda Sinza mwishoni mwa wiki,katika mchezo huo Ally Akida alishinda.
Mchezaji wa Pool wa Mkoa wa kimichezezo wa Temeke,Ally Akbar akicheza wakati mpinzani wake Ally Akida wa Kinondoni akishuhudia wakati wa Bonanza la Mikoa mitatu ya Dar es Salam lililofanyika na kuandaliwa na Mkoa wa Kinondoni Meeda Sinza mwishoni mwa wiki,katika mchezo huo Ally Akida wa Kinondoni alishinda.
Mchezaji wa Pool wa Mkoa wa kimichezezo wa Kinondoni,Abuu Shabani akicheza wakati mpinzani wake Charles Mushi akishuhudia wakati wa Bonanza la Mikoa mitatu ya Dar es Salam lililofanyika na kuandaliwa na Mkoa wa Kinondoni Meeda Sinza mwishoni mwa wiki,katika mchezo huo Abuu Shabani wa Kinondoni alishinda.
No comments:
Post a Comment