Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT na JWTZ wakijenga mahema ya muda ya kuwahifadhi waathirika wa mafuliko eneo la Mabwe Pande Karibu na Bunju B njia ya Bagamoyo jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa Chama cha Msalaba Mwekundu wakichimba na kufukia shimo la choo cha muda katika makazi ya waathilika na mafuliko eneo la Mabwe Pande jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Mahema hayo ya muda yaliyojengwa eneo la Mabwe Pande jijini Dar es Salaam kwa ajili ya waathirika wa Mafuriko yanavyoonekana leo.
No comments:
Post a Comment