JAMANI TANESCO TEMEKE KITENGO CHA DHARULA!
MIMI NIMEPIGA SIMU TOKA MWAKA JANA 2011 TAREHE 28.12 KUWA UMEME HAUNGII KUTOKA KWENYE NGUZO KWENDA KATIKA MASINE LUKU LAKINI CHA AJABU MPAKA SASA HAWAJAFIKA NA KILA SIKU WANASEMA WAPO TEMEKE WATAKUJA MANA MIMI NAKAA MBAGALA!
INACHOSHA KWA KWELI NIMELALA MKESHA WA 2011 GIZA NA JUZI NIMEKOMBEWA FLAT TV AINA YA PANASONIC INCHI 32,SIMU 4,PESA NA BAADHI YA VITU NDANI!HIYO WAMEKUJA NA KUKOSA UMEME IMECHANGIA INGAWA HATA UNGEKUWEPO NINGEIBIWA ILA KAMA BINADAMU LAZIMA NIWALALAMIKIE TANESCO KWASABABU NA GIZA LINACHANGIA!
KESHO YAKE NILIENDA TENA OFISINI KWAO KURASINI NIKAMKUTA DADA MMOJA PALE DHARURA AKAMPIGIA SIMU HUYO FUNDI AKADAI YUPO MBAGALA KONA BAR KIBURUGWA NA AKAWA ANARIPOTI TRANSFONA KATIKA RADIO CALL YAO KUWA NYAYA SIJUI IMEZIDIWA KAMA SIKOSEI ILA ATAKUMBUKA MANA ALINOTI KTK KITABU CHAO CHA KUSHANGAZA NJIA HIYO NI HIYO HIYO YA KURUDI KWAO OFISINI CHA AJABU MPAKA SASA HAWAJAFIKA BADO NINA KIZA MARA UWAKE INAKUWA NI BAHATI KIPINDI KINGINE UNAKUJA NA KUZIMA!
KWASABABU UMEME NI HATARI KWASABABU KUNA KIPINDI UNAWAKA NA KUNA KIPINDI UNAJIZIMA WENYEWE TENA UNAOGOPESHA MPAKA NINA ZIMA MAIN SWITCH! NAOGOPA JAMANI TANESCO MNATUKWAZA!
TENA MICHUZI NAPENDA UIWEKE HII HAPO JUU NAOMBA SANA TU IRUSHE LABDA BOSS WA TANESCO ATAISOMA NITAPATA MSAADA! VITU VINAMALIZIKA NDANI KWANGU HATA JANA WAMENIIBIA TENA!WEZI WANANISUMBUA SANA KISA UMEME!
No comments:
Post a Comment