Baadhi
ya wamachinga wa jijini mbeya wakiwa wanaendelea kujimilikisha eneo la
barabara za mwanjelwa na makunguru huku halmashauri ya jiji ikiwatimaza
kwa jicho la uchu isijuwe la kufanya mpaka sasa jiji halijatenga eneo
maalumu la kufanyia biashara wamachinga hao
Pamoja
na Jitihada za kuhamasisha wafanyabiashara ndogo ndogo kuwa na maeneo
maalumu ya kufanyia biashara zao bado Halmashauri ya Jiji la Mbeya
haijabuni mbinu mbadala kwa ajili ya kuwasaidia wamachinga kuwa na eneo
maalumu la kufanyia biashara, hata hivyo wafanyabiashara hao wanadai
kuwa aina ya biashara wazifanazo ni za kuwafuata wateja kule waliko
huku wakizunguka na biashara zao mitaani.
wamachinga wakifurahia kuruhusiwa kufanya biashara maeneo waliyokatazwa.Picha Mbeya Yetu Blog.
No comments:
Post a Comment