HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 13, 2012

Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Vishale (Darts) yazinduliwa leo mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa, Gesase Waigama akirisha moja ya vishale kwenye ubao wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayofanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.Wengine Pichani ni baadhi ya washiriki wa mashindano hayo wakishuhudia uzinduzi huo.
Mchezaji wa Timu ya Kilimanjaro,Asina Munisi akirusha vishale kwenye ubao wakati wa mchezo wake dhidi ya mpinzani wake kutoka Mkoa wa Kimichezo wa Kinondoni (hayupo pichani) kwenye uzinduzi wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayofanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Mchezaji wa Timu ya Magereza Moshi,Hilda Mahiti akirusha vishale kwenye ubao wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayofanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Mchezo wa Vishale (Darts) Taifa, Gesase Waigama akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mashindano ya Taifa ya mchezo wa vishale (Darts) yanayofanyika katika ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.
Washiriki wa Mashindano ya Taifa ya Mchezo wa Vishale (Darts) wakimsikiliza Mwenyekiti wao (hayupo pichani) alipokuwa akiwahutubia kabla ya kufanyika kwa uzinduzi wa mashindano ya hayo leo kwenye ukumbi wa Rose Garden,Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad