HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 13, 2012

SUMATRA yawataka Madereva wa malori wafike kwao na si kugoma kama walivyopanga

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ahmad Kilima (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kuhusu Mgomo wa madereva wa malori unaokusudiwa kufanyika tarehe 16 januari 2012 kuona kam kuna matatizo na waajiri wafike Sumatra kwa makubaliano. Mwengine ni Meneja wa Masuala ya Umma,David Mziray.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad