HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 13, 2011

ujenzi huu wa choo barabarani,nimeupenda sana

Maana hapo ukiingia huko msalani basi mtaa mzima lazima ujue kuwa umeingia.haha hahha ahaha........ hii kali ya mwaka.Nyumba hii ipo maeneo ya Kinondoni Shamba,jijini Dar

4 comments:

  1. dar es salaam kama ulaya hahahah asante sana kwa picha hii

    ReplyDelete
  2. mimi nimefikiria ni kona ya PICCADILL CIRCUS,london.

    ReplyDelete
  3. Hao wametisha mana choo mpk barabarani kweli hahaaha hakuna siri ya kweli msalani tena

    ReplyDelete
  4. mama mkwe akienda msalani! itabidi iwekwe road block kwa muda!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad