Mdau Kennedy Amani Ngowi akifunua kitambaa cha shela la mkewe kuhakikishama ndio mwenyewe aliemchagua wa kuishi na maisha yote,wakati wa kumeremeta kwao kwenye kanisa la Azania Front,jijini Dar es Salaam jana.
Maharusi wakitazamana kwa upendo na furaha ya kutosha kabisa.
Mchungaji wa Kanisa la KKKT Azania Front akiwabariki maharusi huku wapambe wao wakishuhudia.
Mdau Kenny Ngowi akimwaga wino katika nondozz ya ndoa mara baada ya kumeremeta katika kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam jana.huku Shemeji yetu akimcheki kwa makini ili asije akasaini sehemu isiyo yake.
Shem nae akimwaga wino.
Wakipongezana mara baada ya kumeremeta.
Maharusi na Wapambe wao wakifuatilia mahubiri ya mchungaji.
Kenny na Mkewe wakiwa na nyuso za furaha.
Wakiingia Kanisani.
Ibada ya ndoa ikiendele huku kila mtu akiwa ametulia katika sehemu yake ndani ya Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar.
Kaka tunashukuru sana kuturusha,ila pole kwa yaliyotokea pale siku ile,yaliniudhunisha sana,very sorry bro,itabidi tuyaongee ofisini
ReplyDeleteGoodluck