Maana hapo ukiingia huko msalani basi mtaa mzima lazima ujue kuwa umeingia.haha hahha ahaha........ hii kali ya mwaka.Nyumba hii ipo maeneo ya Kinondoni Shamba,jijini Dar
Sunday, November 13, 2011

Home
Unlabelled
ujenzi huu wa choo barabarani,nimeupenda sana
ujenzi huu wa choo barabarani,nimeupenda sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
dar es salaam kama ulaya hahahah asante sana kwa picha hii
ReplyDeletemimi nimefikiria ni kona ya PICCADILL CIRCUS,london.
ReplyDeleteHao wametisha mana choo mpk barabarani kweli hahaaha hakuna siri ya kweli msalani tena
ReplyDeletemama mkwe akienda msalani! itabidi iwekwe road block kwa muda!
ReplyDelete