Msanii Barnaba akifanya show katika tamsha la STR8 MUZIK INTER COLLEGE SPECIAL 2011 katika Viwanja vya Royal Village.
Msanii Diamond Akifanya Vitu Vyake Ambapo Alikua Akicheza Mwimbo wake wa Moyo Wangu
Msanii Kutoka Nchini Kenya Nameless akifanya Show iliyowavutia Wadau wengi kwenye Tamasha hilo la STR8 MUZIK inter college special katika Viwanja vya Royal Village.
Wanavyuo wakiserebuka ngoma za Juma Nature aka Kibra wakati alipopanda jukwaani
Umati Mkubwa Wa Watu Ukiwa Umefurika Katika Show ya STR8 Inter Colleg Special 2011 iliyofanyika Katika Viwanja Vya Royal Village Mjini Dodoma Usiku Wa Kuamkia Leo.
kwa picha zaidi,bofya hapa
kwa picha zaidi,bofya hapa
wanafunzi wa kitanzania du?inatisha
ReplyDelete