Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh.Said Meck Sadiki akitoa shukrani kwa Mkurugenzi wa kampuni ya konyagi bw David Mgwassa, kwenye makabidhiano ya vifaa vya usafi vilivyotolewa na kampuni hiyo kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya konyagi Bw David Mgwassa (kulia) anaeonekana akiwa pamoja na wafanyakazi wa halmashauri ya jiji la dar es saalam waliokabidhiwa vifaa vya usafi wa jiji na kampuni ya kinywaji cha konyagi katika ofisi ya mkuu wa mkoa.
No comments:
Post a Comment